Hi all. It's been long time. Check this out. I found this 👇 message circulating in the social media and said let me share it with you. Please, you can translate it. It's one great life lesson. Because the truth is, some people will criticize you no matter what you do, good or bad. How you go about it is what matters and finally make a difference. Thank you.
"KUNA MWALIMU MMOJA ALIINGIA DARASANI AKAANDIKA UBAONI KAMA IFUATAVYO:
(1) 9+1=70
(2) 9+2=11
(3) 9+3=12
(4) 9+4=13
(5) 9+5=14
(6) 9+6=15
(7) 9+7=16
(8) 9+8=17
(9) 9+9=18
(10) 9+10=19
Alipo maliza kuandika tu, akaona wanafunzi wote walikua wanacheka, kwasababu alikua amekosea swali la kwanza.
Akawatazama wanafunzi, kisha akawaambia yafuatayo:
```"Nimejikosesha lile swali la kwanza makusudi, kwasababu nilihitaji mjifunze kitu kimoja muhimu sana.Mnapaswa kujua namna ambavyo dunia inaweza kuwachukulia. Unaona hapo, nimeandika kwa usahihi maswali tisa (9), lakini hakuna kati yenu aliyenipongeza kwa hilo; wote mmecheka na kunilaumu kwasababu ya kosa moja tu nililofanya."```
#HIVYO, HILO NI SOMO KWENU:
```"Dunia haijali mazuri unayofanya hata ukiyafanya mara milioni, lakini fanya baya moja uone jinsi watakavyo kulaumu..."```
"```Hata hivyo usikate tamaa, MARA ZOTE SIMAMA IMARA NA USHINDE VIKWAZO VYOTE." ```
🌺*Huu Ndio Ujumbe wangu kwenu leo.......
#TIMIZA MALENGO YAKO"
The Fatherhood Life Reader(s) Signature and Disclaimer: Content of this Blog (Fatherhood: Life Academe) is intended for reading use only. Reader(s) discretion is of essence. If you have received this link in error, please close the window and inform us promptly. Content of this blog are protected under the privacy, 1st amendment and private property laws. Do not distribute, print, download and or copy content of this Blog without Blog Administrator’s permission or proper academic references to this Blog. Also contents of this Blog are personal opinion, views, perception and private or Public observations of the Blogger(s). Thank you and may God bless you and The United States Of America. "In God we Trust" and "United We Stand".

No comments:
Post a Comment