Friday, September 1, 2017

Truth vs Conspiracy Theory






Habari Wandugu, *Thanks God It's Friday  (TGIF).* Mtu atinge na hii ndude, akatize nayo mtaani au juu ya majumba za watu, wengi watazusha kila wanaloweza kuelezea japo hawajui ukweli wake hata kidogo, na uzushi uta tambaaa kama upepo wa kimbunga vile. *Sijui ni wangapi watataka kuuliza na kudadisi/RESEARCH, ili kujua UKWELI NA HALI HALISI?*  Tusiamini ya kuambiwa peke yake. Ukweli ni kwamba kila jambo lina *Scientific Explanation yake,* na ili kufumbua Fumbo *(Conspiracy Theory)*  ni kuutafuta na kuujua *UKWELI*. Na ukweli huja kwa kuuliza *maswali nyeti* Walengwa, Wahusika, Washuhuda na Washiriki, (Kudadisi/Research). Halafu kutumia majibu/data unazopata kuchambua tukio, malengo, matokeo na sababu (Analytics).  Hapo utakua umefumbua fumbo kwa kujua ulilokua haulijui na utaelimika na kuelimisha wengine *Ukweli na hali halisi.* *#UFO* Stay blessed. Go Figure!  🕆📖🕇✡👆🏾



The Fatherhood Life Reader(s) Signature and Disclaimer: Content of this Blog (Fatherhood: Life Academe) is intended for reading use only. Reader(s) discretion is of essence. If you have received this link in error, please close the window and inform us promptly. Content of this blog are protected under the privacy, 1st amendment and private property laws. Do not distribute, print, download and or copy content of this Blog without Blog Administrator’s permission or proper academic references to this Blog. Also contents of this Blog are personal opinion, views, perception and private or Public observations of the Blogger(s). Thank you and may God bless you and The United States Of America. "In God we Trust" and "United We Stand".

No comments: